Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wakuu aliyekuws mgombea wa Urais Nchini Kenya ameashauriwa aachane na Rails Odinga na badala take ajiunge na chama Tawala Jubilee.
Kwa mujibu wa Wazee wa Ukambani madhirikiano na Odinga hayana faida yoyote kwa jamii hiyo hivyo nibora aachane na Odinga.
Hii ni moja ya habari mbovu kabisa kuandikwa hapa JF!!Wakuu aliyekuws mgombea wa Urais Nchini Kenya ameashauriwa aachane na Rails Odinga na badala take ajiunge na chama Tawala Jubilee.
Kwa mujibu wa Wazee wa Ukambani madhirikiano na Odinga hayana faida yoyote kwa jamii hiyo hivyo nibora aachane na Odinga.
Raila Amolo Odinga.RAO ndo nani/nini?
Amolo...si Amoro...Raila Amoro Odinga.
Hilo Gazeti la Mwananchi, pamoja na The Citizen na The East African kamwe hayaandiki habari mbaya za Jubilee na hasa Kenya na ni tofauti sana yanavyoandika za Tanzania na Serikali.Wakuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Urais nchini Kenya kupitia muungano wa NASA ameshauriwa aachane na Raila Odinga na badala yake ajiunge na chama Tawala cha Jubilee.
Kwa mujibu wa Wazee wa Ukambani pamoja na washauri wengine wamedai kuwa kwa sasa mashirikiano hayo hayana faida yoyote kwa jamii hiyo badala yake yameiletea jamii hiyo hasara kwa hivyo nibora ajiondoe kwenye ushirika huo.
Mhesh Kalonzo pia amepinga mpango wa kufanya maandamano nchi nzima ulioitishwa na RAO kwa kusema una lengo lakuleta ghasia na vurugu nchini humo na ni kitendo cha kuhujumu Uchumi. Aidha amekosoa uamuzi wa RAO kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio kuwa ni wa kibinafsi na haukufanywa kwa kuzingatia maslahi mapana ya Wakenya. Ameongeza kuwa njia sahihi ya kupata Uongozi ni kupitia Uchaguzi na sivinginevyo.
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi.
Karibuni
PoaAmolo...si Amoro...
Unakuwaga mshamba sana wewe. Ndo madhara ya kula mihogo mingi huko vijijini nini?RAO ndo nani/nini?