Mie mbona nshakudondokea kitambo!
Hata kabla akina M.a.ige hawajaiba Twiga mi nilikua nshakuzimia!
Sasa dear nimetonywa unatembeaga na card mbili za ATM, hebu nambie uko mteja wa Bank ipi na ipi ?
Mie mbona nshakudondokea kitambo!
Hata kabla akina M.a.ige hawajaiba Twiga mi nilikua nshakuzimia!
Sasa dear nimetonywa unatembeaga na card mbili za ATM, hebu nambie uko mteja wa Bank ipi na ipi ?
:majani7:nina mastercard na vizacard ya ile bank yenye card za ji-nyama likubwa, :majani7:dia, sweetie, my chokuleti, nitakuachia tu moja ukae nayo, sema wataka ipi, ya master card au ya visa?