Kali ya funga mwaka uchaguzi mdogo

lwa kalolo

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
182
Reaction score
123
Baada ya kushinda kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi mdogo Geita Mwatulole CHADEMA 1600 CCM 250 vijana wamebeba box mfano wa jeneza lililo pambwa kwa mashada na ragi za CCM pamoja na msalaba na kuzungusha Mitaa yote kisha msafara ukaelekea makaburini kabuli likachimbwa na CCM ikazikwa rasmi na sasa sherehe inaendelea ktk ofisi ya CHADEMA
 

Tafuta picha kiongozi!
 
Haahahahahahaha magambaaaaaaa leo yametoweka yote, jukwaa shwari kabisaaaa
 
Nimefurah habar njema sana 2015 tutawaonyesha tulivyowachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…