Kalenga waapa kufa na CCM

Hiki kizazi cha hovyo kabisa baadhi mnaporomosha matusi tu
 
Hata likisimamishwa jiwe litapigiwa kura. Ccm inapendwa mno
 
Mbona wamechelewa kufa wakati CCM ilishakufa zamani tunasubiri kuizika.Kama wanauchungu na marehemu wawahi kufa kabla marehemu hajaanza kutoa funza ili tuwazike pamoja.
 
Unawapa hongera kwa kuchagua umasikini?
 

Siyo wote! Wenye upeo mdogo wa kufikili ndo wa kudanganyika!
 

Attachments

  • Hadanganyiki+mtu+hapa!.jpg
    26.6 KB · Views: 58
Hakipo chama cha kushindana na CCM.

Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga kutabiri mshindi wa uchaguzi mkuu 2015, watafiti wa maswala ya kisiasa wana sema, jimbo la Kalenga limebeba sura halisi ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu kulingana na historia ya mabadiliko ya nchi yetu.

Endapo CCM itashinda jimbo hilo, basi itakuwa na nafasi ya kuibuka mshindi uchaguzi mkuu 2015, vinginevyo CHADEMA itakuwa inaingi Ikulu.
Hali ilivyo sasa ni kwamba, kundi la watu mashuhuri kama maChief na wazee wameonekana kuiunga mkono CDM jambo ambalo sio la kawaida na hivyo limeleta hofu kubwa kwa CCM na kuwafanya hata wao kutokukubaliana jinsi ya kukabiliana na vuguvugu la mabadiliko linloonekana kuwa tishio kubwa...

HAKIKA TANZANIA IMEAMKA...
 
Hata likisimamishwa jiwe litapigiwa kura. Ccm inapendwa mno

ni kwamba watu aidha hawajitambui au huwa wanatishwa kuwa waki wachagua wapinzani watajulikana na kwa hiyo watatafutiwa namna ya kuwakomoa ambao ni ujinga.lakini hakuna marefu yasiyo na mwisho!hata kule kuja kuisikiliza mikutano ya opposition ni mwanzo wa mwisho wa chama cha wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…