VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Haya saa 12 jioni baada ya kipigo mrudi tena muandike hayohayo, Bavicha mna akili za Kobe hata mbele hamuoni.
Leo watafute pakujificha watapata aibu ya mwaka yule mzee wao baada ya matokeo lazima akalazwe kwanza make presha itakuwa zaidi ya 200.Haya saa 12 jioni baada ya kipigo mrudi tena muandike hayohayo, Bavicha mna akili za Kobe hata mbele hamuoni.
Kwa akili yako unadhani leo gongo itafanya kazi kalenga?MaCCM yasiachwe hata kujumuika peke yao. Hayachelewi kuingia chumba cha kura na furushi la kadi za kupigia kura. Yamezoea wizi. Alindwe GRACE na kura zake.
Tutajieni kura za kila kituo tukokotoe wenyewe. Kila la heri
Labda mungu wa tengeru ila siyo muumba mbingu make nyie kwa dhambi mnaongoza sasa tangu lini mungu hukaa na wadhambi kama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.Mungu yu Pamoja Nasi. M4C forever
Wapi mkuu tukumbushane vizuri lakini pia baada ya matokeo tuwasiliane.Simiyu Yetu,mbona ulinitoroka juzi? nirudishie basi changu dada
Leo watafute pakujificha watapata aibu ya mwaka yule mzee wao baada ya matokeo lazima akalazwe kwanza make presha itakuwa zaidi ya 200.
Kobe wa.ZA.ZI wako
Wapi mkuu tukumbushane vizuri lakini pia baada ya matokeo tuwasiliane.
Wapi mkuu tukumbushane vizuri lakini pia baada ya matokeo tuwasiliane.
Kwa maneno haya, ukizingatia leo Jumapili na kipindi cha Kwaresima tayari umeshindwa Kalenga.
Yaani sasahivi zilizokwisha pigwa Grace Matende 1% Geofrey Mgimwa 99%.