Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
Hujapitia shuruba alizopitia, angesharudisha mpira kwa kipa.Sugu namkubali, lakini wakati mwingine anatukana sana. Hii siyo nzuri.
Ooh! Bado nilikuwa kazuramimba. Aisee jamaa amepitia magumu ndiyo maana amekuwa mkali sana!Hujapitia shuruba alizopitia, angesharudisha mpira kwa kipa.
Aendelee kuwashukuru sana wana Mbeya, ile kugombea Ubunge ilikuwa ni do or die baada ya kina Ruge kumpora mradi wa Malalia no more na wapo karibu na Mkwele wanamfanyia birthday wao, au ulikuwa bado upo kijijini?
Kwa hiyo Sugu karusha jiwe gizani hapo ndiyo mayowe yameanza kusikika?
Skupingi mkuu lakn nafikiri kuziba jicho moja sio vibaya kwakua america kuna fetty wap na africa tuna ruger wote identity yao ni Eyesight....Huyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?
Usela mavi wa kuziba jicho moja ni wa kizamani
Kwanza sahv huyu si wa block41 tena kibanda chao cha urithi kishauzwa atulie tuAmefunguwa Bereau de Change Mlimani City inaitwa Desderia.
Endelea kushangaa tu na Mbeya ana Desderia hotel.
Lile dole la kati huwa anawapa mafala kama wewe.View attachment 3645231
Una uhakika Sugu Hana akili?. From kuuza mitumba mpaka bilionea. Nakukatalia kabisa.Sugu hana akili mi huwa najiuliza hata ubunge aliupataje Mbeya vitu anavyofanya na umri wake ni vitu viwili tofauti
Na sugu alianzia kundi la dar young mobWatu wengi hawajui kuwa Sugu alikuwa celebrity mkubwa bongo mwaka 1996 akiitws 2 proud. Mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipokuja Prof J. Kamtoa Lady Jaydee na Mr Paul baada ya kuwashirikisha kwenye album zake.
Kafanya nini huyo Sugu mpaka ujiulize alivyopata ubunge?Sugu hana akili mi huwa najiuliza hata ubunge aliupataje Mbeya vitu anavyofanya na umri wake ni vitu viwili tofauti
Pina hakuna kitu hata hiyo kikosi yenyewe ana force tu Miaka yoteHuyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?
Usela mavi wa kuziba jicho moja zima ni wa kizamani sana Marekani walishatoka huko miongo kadhaa.
Upo sahihi mkuu DEIWAKA alitoka kitambo mno.Watu wengi hawajui kuwa Sugu alikuwa celebrity mkubwa bongo mwaka 1996 akiitws 2 proud. Mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipokuja Prof J. Kamtoa Lady Jaydee na Mr Paul baada ya kuwashirikisha kwenye album zake.
Pina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,Na sugu alianzia kundi la dar young mob
Nakumbuka tamasha pale mnazi mmoja alipanda jukwaani akaimba wimbo wa "ni wapi tunakwenda" ilikuwa 97 ile kama sijakosea
Ova
Hata mimi nimejaribu kusoma, hakuna mahali nimeona Sugu ametajwa. Huyo Kalapina kaandika katika hali ya kawaida kabisa. Bii Dis kwa Sugu itakuwa ni ya kulazimisha bila shaka.Nimemaliza kusoma comments zote, sijaona wapi sugu alipodisiwa, na sababu ya kudisiwa kwake
Ikiwapendeza, wekeni taarifa kamili ili tusome na kuelewa wote. Sio wote tunapatikana mjini Instagram
Akili za kijamaaNimemaliza kusoma comments zote, sijaona wapi sugu alipodisiwa, na sababu ya kudisiwa kwake
Ikiwapendeza, wekeni taarifa kamili ili tusome na kuelewa wote. Sio wote tunapatikana mjini Instagram
Wamehamia wapi? Kigamboni ni nini? Kimepigwa mnada na benki? Huyu jamaa alikuwaga anajadiliwa hadi msikitini Kinpndoni wazee walikuwa hawamtaki na mitkasi yake ya kupiga watuKwanza sahv huyu si wa block41 tena kibanda chao cha urithi kishauzwa atulie tu
Ova
Ila kalapina ana u snitch na ubinafsi sana, Kwa wasio mjuaHata mimi nimejaribu kusoma, hakuna mahali nimeona Sugu ametajwa. Huyo Kalapina kaandika katika hali ya kawaida kabisa. Bii Dis kwa Sugu itakuwa ni ya kulazimisha bila shaka.
Yes I agree with you. Sugu " Mtaani " yupo vizuri zaidi.. Msanii wa bongo anaeweza kufanya beef na Sugu kwa level za " Mtaani" ni Ney wa Mitego..Pina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,
Block 41 ,kabla ya maskani kuitwa kikosi Cha mizinga, ilikua inaitwa Indiana na Sugu alikua mmoja wapo na Hashim Dogo
Ana ushamba ushamba Fulani hvWamehamia wapi? Kigamboni ni nini? Kimepigwa mnada na benki? Huyu jamaa alikuwaga anajadiliwa hadi msikitini Kinpndoni wazee walikuwa hawamtaki na mitkasi yake ya kupiga watu