R.B JF-Expert Member May 10, 2012 6,296 2,575 Jan 21, 2016 #1 Zile kalamu za picha za kutambua kura ingawa kura ni siri na ni haki ya mtu zimeamishiwa kigamboni katika uchaguzi. Mafunzo kwa ajili ya madiwani yameshaanza jinsi ya kutumia mbunge wa UKAWA hasannel (mhindi) ndo kapewa jukumu hilo.
Zile kalamu za picha za kutambua kura ingawa kura ni siri na ni haki ya mtu zimeamishiwa kigamboni katika uchaguzi. Mafunzo kwa ajili ya madiwani yameshaanza jinsi ya kutumia mbunge wa UKAWA hasannel (mhindi) ndo kapewa jukumu hilo.
dudus JF-Expert Member Feb 28, 2011 23,192 52,763 Jan 22, 2016 #2 Kigamboni kuna issue gani inayohusiana na uchaguzi kwa sasa? Fafanua.