Kakuta condom kwangu

Hizi condom ni kinga dhid ya maradhi na mimba,kwa hiyo nimezichukua kwa ajili yako kukukinga na mimba iwapo kama upo kwenye siku za hatari usipate mimba isiyotarajiwa.ungemwambia ivo.ila kama anandelea kuyeyusha mteme
 
Hizi condom ni kinga dhid ya maradhi na mimba,kwa hiyo nimezichukua kwa ajili yako kukukinga na mimba iwapo kama upo kwenye siku za hatari usipate mimba isiyotarajiwa.ungemwambia ivo.ila kama anandelea kuyeyusha mteme
Anazingua sana. Eti kanimind
 
Mdogo wangu alikuja kunisalimia= alikuwa anacheza kwenye kochi.
Mdogo wangu alitoka nazo nje= mdogo wangu hakujua kama zile ni silaha za nuclear.
Mdogo wangu hakuweka pale pale= Mimi sikuingia tena ndani hadi alipofika demu wangu.
Qn.
1. Kochi halina nafasi ya kuweka kitu. Ww uliwezaje kuweka?
2. Mtoto aliyekuja kukuona ,je alikuwa hazijui kondom?
3. Kwa ninj haujaeleza umri wa mdogo wako?
4. Ni kweli mtoa mada umepanga chumba kimoja?
5. Ni kweli chumba chako kinamwanga hafifu.
6. Ipi taarifa sahihi kati ya mtoto kucheza ndani na mtoto kuchezea vitu ndani mfano kondom na kochi?
7. Haujaeleza kama jioni ulikula chakula
8 Pia hajasema kama ulioga maji baada ya kushinda na mdogo wako
9 Haujaeleza mda alioondoka mdogo wako
10 umesema kondom ni za zamani ila haujataja miaka mingapi 10,20,30 au 40.
11 Ni kweli ww unamatatizo ya akili hasa kusahau?
12 Umesema mwanamke alikuwa analalamika sana usiku ila haujasema alikuwa analalamikia nn zaidi
13 Nikisema kisa chako cha kutunga nitakuwa nakuonea?
14 Ni kwa nini haujasema utofauti kati ya usiku kucha na usiku wa manane?
15 Kipi cha muhimu zaidi kwa mpenzi wako kati ya kuja kukutembelea na kuja kulala kwako?
16 Haujasema ilikuwaje hadi akupe mzigo na wakati akiwa analia na kulalamika
17 Unataka kuonekana huna makosa,si ndivyo?
18 Nikisema hakukuaga nitakuwa nimekosea?
19 Haya waambie watu wa jamiiforums ni wakati gani umempa hela tokea aje hadi anaondoka.
20 Nikisema amekasilika kwa sababu haujampa hela nitakuwa nakukosea?
Kutokana na mda naomba tuahilishe na nitamhoji tena baadae . Napendekeza iwe saa 8 mchana
Upande wa utetezi: Hatuna pingamizi mh jaji.
Mahakama ipo kimya,jaji anaandika
Jaji: Basi tunaahirisha hadi mchana wa leo saa 8 kamili ,shahidi unapaswa kuwa wakati huo(jaji anasimama)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom