Oxygen gas
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 247
- 236
Two months ago kuna msichana alikosea number na kunipigia simu. Baada ya maongezi mawili matatu akaanza nirushia shida zake.
1.Nitumie nauli nije kwako.
2.Nitumie zawadi ya mwaka mpya.
3.Sina simu hii nayotumia ya mama.
Hapo nikasema Duniani kuna mengi, yaani siku moja tu mahitaji yote hayo? Nilitulia tuli akaanza nitafuta kila siku.
Jamani wadada kwa mwendo huu wa mizinga mtaishia kuishi kwenu.