Kakobe ni nabii wa kweli

Kakobe ni nabii wa kweli

FMuhomi

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
61
Reaction score
24
Mwaka jana, 31 March 2014, Askofu mkuu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zackary Kakobe, aliandika barua yenye ujumbe wa Mungu juu ya anguko la CCM mwaka 2015....huyu alitabiri na yametimia.
 
Kweli nimekubali....Njaa mbaya sana..Naona hii ni post yako ya kwanza leo...lazima utakuwa umebadilishana na wenzako kina mmawia umeingia night shift
 
Mwaka jana, 31 March 2014, Askofu mkuu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zackary Kakobe, aliandika barua yenye ujumbe wa Mungu juu ya anguko la CCM mwaka 2015....huyu alitabiri na yametimia.

Mkuu niambie nabii ni nani? Yametimia yapi!
 
Wanasiasa, jifunzeni kuwabaini Watumishi wa kweli wa Mungu, na kuwaheshimu, kinyume chake ni kupata madhara mazito kama haya.
 
Back
Top Bottom