Habari zenu wana forum
najua hapa kuna wataalamu wa lugha.
naomba mnifundishe.. ikiwa kaka yangu akioa mke . mimi nitasema KAKA YANGU ANA MKE
sasa KAKA ZANGU WAKIOA NITASEMA KAKA ZANGU........
Hapo ndio naomba ushauri nitatumia neno gani ili ijulikane kaka zangu wanao wake zao