aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 320
- 526
Utafiti unatakiwa kuanza na utambuzi, tambua kama kuna mwanafamilia yeyote anayejua tatizo lake.Boss nimeshakuambia siyo mimi km unataka naweza kukuPM namba yake ila hakikisha unamsaidia na siyo kumuongezea matatizo ama kumtia msongo wa mawazo, by the way mimi nilishaelekezwa kuwa kuna bibi yupo Kigoma wilaya ya Kasulu kijiji kimoja kinaitwa Heru juu, naskia bibi ni mtaalamu balaa ila shida yangu mimi hasa ni nmna gani kumwambia brother kwamba nenda kwa bibi ukachukue dawa ilihali hajawahinitamkia kama anaumwa ama si mzima. So kwanza nisaidiwe namna ya kuweza kumwambia na hayo ya kutibiwa yaje baadae
hata kama hujagegedwa mkuu sijui woga huwa unatoka wapiHasa kama ulitoka kugegedwa peku... a,k,a voda kwa voda
wenzio wanasema mimi ni dume mkuu wewe huogopi kunipenda maana wakija hapa utashangaa eti nimekaa kiume?Afu Mi Huwa Nakupenda
Wise word, many thanks brother and be blessedMkuu cha kufanya ni kutafuta sehem na kukaa na kaka yako kisha mwaga tuhuma ulizosikia kwa hao wanawake kisha uangalie response yake.Jaribu kumuwekea mazingira ambayo atakuwa na confidence ujue chanzo cha tatizo na hatua ambazo yeye amechukua na hapo ndio utapata wapi kwa kuanzia.Ni bora kama atakuwa na tatizobhilo kweli mkaanza kwenda kumuona daktari.Bora umwambie wewe ndugu na rafiki yake wa karibu kuliko kumtongozea wanawake ambao mwisho wa siku wanajua udhaifu wake.Jaribu kukaa nae na umbane akuambie ukweli na wewe ndio utakuwa shujaa wake
Sasa uoga unatoka wapi wakati una uhakika hujagegedwa?hata kama hujagegedwa mkuu sijui woga huwa unatoka wapi
ila kama umegegedwa utakumbuka hadi kuhesabu kirumi ile ya darasa la tano
Mwambie aende mombassa atapata suluhu
Kwangu mimi suala ni kumsaidia, be it kaka yake au yeye mwenyewe... it doesn't make any difference...!Huyu
Huyu sio kaka yake itakuwa yeye ndio Mwenye tatizo
ww wala usiumize kichwa wala usimwambie chochote. kama dawa unaifahamu chukua dawa mpe na mwambie hii dawa inasaidia labda ugonjwa wowote. utakua umemsaidia bila yeye kujuaaliyetegwa mimi nipo gado ila sikulazimishi uamini hivo, nimekuja hapa kuomba watu wanisaidie mbinu za kuingia kwa brother ili nimfahamishe kuwa hajachelewa tiba ipo ila shida ni namna ya kumuingia na kusema kuwa nimesikia husimamishi ndiyo shida hapo aise
NATURE KAKASasa uoga unatoka wapi wakati una uhakika hujagegedwa?
Mkuu nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona Ninayo dawa ya kuweza kumrudsiha nguvu zake za kiume na akapona kabisa. UkihitajiNahitaji msaada wenu wanajamii forum, naamini palipo na wengi hapaharibiki jambo na mwisho wa siku ntapata msaada wa kunikwamua mahali nilipo
Nina kaka yangu mwaka huu amefunga 42 years, actually ni mototo wa mama yangu mkubwa, ina shida moja kubwa ambayo nimeigundua hivi majuzi baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kupata majibu. Kaka yangu linapokuja suala la kuoa anasema kuwa hajapata mwanamke sahihi wa kumweka ndani awe mama watoto wake.
Wakati nikiwa chuo alinisumbua sana namlink na wadada ambao niliona wanaweza wakawa wife material ila relationship yao haikuwa inakaa zaidi ya miezi mitatu inavunjika, nikimuuliza mdada ananiambia muulize kaka yako nikimuuliza bro anasema watoto wa chuo wasumbufu.
Maisha yakaendelea basi tulivoanza kazi na penyewe akawa anasema km job kwangu kuna msichana ambae naona ni wife material nimuunganishe nae maana yeye kazi zimemtinga na pia kazini kwao amesearch hajaona, du kweli nikampata mlokole mmoja wa kwa mchungaji mama Lwakatare huko milima ya moto,
mimi nikajua sasa tayari tunaenda kutoa mahari but baada ya miezi miwili uhusiano ukavunjika nikamuuliza shida ni nini kila mmoja akaniambia muulize kaka yako na kaka ananiambia muulize huyo unaemuita wife material wako.
Anyway to cut the story short nilimmbana mmoja wa wadada aliokuwa nao wale wa chuoni akaniambia kuwa kaka hasimamishi akaniaapia kuwa walienda guest bro jogoo akashindwa kuwika sasa wandugu nashindwa nifanyeje kumsaidia brother yangu maana umri umekwenda ana 42 yrs ila familia ndiyo hana hata mtoto wa kusingiziwa.
Naombeni mnisaidie namna ya kumuingia ili nimuunganishe kwa madaktari maana nina mtu namfahamu alikuwa kama yeye alipopewa mitishamba alipona kabisa na yupo gado, nisaidie ideas namna ya kulianzisha kwa kaka ili apate kuponyeka nayeye afurahie uanaume wake