Nikifanya reference kwenye suala la Ndondo cup na umuhimu wake, ninaungana na wewe kukiri kuwa Manara halingani hadhi na Dauda. Dauda ni far more superior kwa Manara mara elfu. Manara hana hata robo ya hadhi ya Dauda.Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.
Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.
Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.
Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.
Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.
Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?
Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]
Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Taifa 🌟 kashinda MojaKila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
Aaah hapana bwana mkuu haiwezi kuwa kwa uandishi huo labda form 4 failureUnaweza kuta mtoa mada nimsomi