....Katika hiko kikosi chake amenitajia mtu ambae nilikuwa nimemsahau ila nimemkumbuka.
....Nilikuwa namkubali sana enzi zake, sijui imekuwa akapotea.
.....Kila mtu akiwa golini miaka ya 2000 mpaka 2007 kama sikosei alikuwa anajifananisha naye.
......Ni DIDA, The One. Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana, kwanza akikaa golini lazima akilini mwako utatambua kuwa huyu jamaa ni fundi kwa kukamata mipira.