Kwangu mimi hii naona ni changa moto kwa vijana wa leo, japo media zinatuharibu lakini si kiasi hicho kiasi kikubwa ni sisi wenyewe kuto elewa mambo. Utakuta kaka na dada mara wamekumbatiana, mara wameshikana, au dada kavaa kasketi nusu, au kaacha maembe yanaelea nje. Au wanaangalia fimalu ya kanumba huku wamepakatana eti hakuna umeme huyu ni kaka na dada. Pia utakuta wanapiga stiory za mapenzi utadhania ni watu tofauti.