"Kaka mbona unaniingizia goti?!

anasema kwa kiasi flan anampini wa kiafricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hujashawishika kuusikia kabisa
Wenye nazo wanakaaga kimyaaaa.

Hawa hawana lolote vifegi tu.
 
Kwaio pale sekenke hicho kijiji kipo kwa wapi mkuu?
 
KUNA MAWILI UNATAFUTA MILIKI WA KISIMA ILI MUWE MARAFIKI AU UNAFUNGUA BIASHARAAAAAA
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tanzania ya viwanda
 
Jamii forum raha sana
 
Eh eh washazoea back hao...ngoja ntaenda nami kutalii

READERS ARE LEADERS
 
Ilikuwa awamu ya tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…