wapenzi wa chit chat habari za asubuhi.
This morning napenda kumpa big up ma swtlo
Kaizer kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi babu yetu
Asprin akafunguliwa huko jela.
Its true
Kaizer you are good and strong ever. Ndio maana miye kulala pasi kukupa dose siwez manake unanikosha kila engo aisee.
Pia naomba nitangaze bifu kwa wote ambao wataanza ama waalioanza kukumendea kwa kazi nzuri hasa
BADILI TABIA Catherine cacico sweetlady Lily Flower waambie kabisa kuwa nimejiunga boxing club so salam zao zote zipitie hapa kwangu and not otherwise.
Welcome babu and good job my hubby, wa kumoyo, ma swtlo my nyongo mkaa na ini, my kope mfunika jicho, my msiri, my mwandani my godoro, my blanketi my wa raha zangu.............
Kaizer