Al Ahly wana uzoefu mkubwa wa Final za CAF champions league na kuchanganya na mpinzani anaukutana nae, hii itakuwa moja ya fainali nyepesi kuwahi kutokea
Juzi tu uto wamepitia madirishani milango isiyohusika wamevunja vitasa makufuli au hujui? Tena siku chache tu hata wiki haijaisha toka watoke mkutano mkuu wa mabadiliko.