vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,091
- 5,785
Unadhani hakushiriki? Kashiriki katolewa, hayo mashindano ni sawa sawa na CRDB federation cup kwa huku kwetu sio Bonanza hilo. Bingwa anaenda kucheza kombe la shirikisho CAFNilitaka kushangaa mamelodi alikuwa wapi![]()