Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Tokea siku ile yule mwandishi wa habari wa kujitegemea na aliye mwanachama mwenzetu humu, Bw. Pascal Mayala, amwulize rais wetu mtukufu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuhusu suala la mamlaka yake pamoja na katiba yetu, nimebaki najiuliza sana.
Kwanza najiuliza kama huyu rais wetu kweli kaisoma katiba yetu.
Pili, kama kaisoma, kaisoma lini?
Na tatu, kama kaisoma, swali jingine ni je, aliielewa?
Natambua kuwa suala la kusoma na kuelewa ulichokisoma, kwa Watanzania wengi huwa ni mgogoro.
Ukweli huu umejidhihirisha hata humu JF. Ndiyo, watu walio wengi wanajua kusoma lakini wakianza kuchangia mada wakati mwingine mtu unaishia kupatwa na bumbuwazi na kutikisa kichwa.
Sasa huyu mkulu wetu niaje? Kaisoma na kuielewa kweli katiba yetu huyu?