Ye mwenyewe alikuwa hajui....Nenda kwenye page ya lemutuzz
Naona angekuwa makamu wa Rais wala hakuna haja ya makonda kuwepoNilikuwa nasikiliza EFM wamemhoji makamu Mkuu Wa mkoa na amethibitisha kuwa yeye ndo atakuwa mgeni rasmi katika siku ya wanawake maana Paul Makonda yuko South Africa!
Chanzo: Efm
Hii issue ngumu wadau; sio utani. Akipiga mahesabu viongozi wa Jiji na Manispaa (mameya), wabunge, na madiwani wa UKAWA wanaweza kuwepo na akikumbuka alivyokuwa anawadharau hata kuwatambulisha kwenye ziara za kiserikali alikuwa hafanyi hivyo (dharau na kiburi tu) unadhani angefanyaje? Akiwaza hadhira itakayokuwa pale itamwonaje; dah! Hapo lazima akili zirudi. Heri lawama kuliko fedheha.jamaa katorokea south africa