masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,196
- 13,837
Nasoma gazeti la Majira leo 22/12/2015 uk wa pili.
Kichwa kinasema
"Hakuna ufisadi Coco Beach,Magomeni Kota,ujenzi wa barabara-Mkurugenzi"
Nimesitushwa na habari hii ambayo Rais aliibua.
Sasa tumsikilize nani, Rsis au Mkurugenzi wa Kinondoni?
Staili hii ya kufany kazi iliyozoeleka na Manispaa ya Kinondoni inatia shaka.
Ni aina ya kujisafisha kutokana na ziara za ghfla za viongozi kuibua madudu
Hata uchunguzi haujakamilika tunaona watu wanajisafisha hadharani.
Mkurugenzi pengine ni mgeni hapo, mkandarasi aliyejenga barabara ya Mabatini ni mtoa rushwa mzoefu.
Fuatilia barabara nyingine zilizojengwa na mkandarasi huyo na huko Tabata.
Kinondoni mmezoea kupewa vibahasha , sasa vitawatokea puani.
Majipu hayo!