Ftari hio....ukiitafuna sukari inatoka puffff tamuje!!
hiyo sukari sasa..mweh
hiyo sukari sasa..mweh
Woow; hiyo maLugeimati/kalimati kwa Kahawa ... Organic from BK au JRO weeee!!
i knoww mpenzi..ila ndo kuongeza uzito mamaNdiyo raha ya kaimati ilipo
Ndiyo raha ya kaimati ilipo
farkhina ni wewe wewe wa mitaa yetu ileeeeee ya diko diko? Mwaya huku naona kumepoaaaa asante kwa pishi lakini
Woow; hiyo maLugeimati/kalimati kwa Kahawa ... Organic from BK au JRO weeee!!
Bora niikalie kitako jioni hii!!
i knoww mpenzi..ila ndo kuongeza uzito mama
i knoww mpenzi..ila ndo kuongeza uzito mama
YaaUmmy.. unakaidi kwanini? Kama hatari na mwiko...Si ufuate masharti ya Dr. hujui mkaidi hafaidi ila..........Mwenzio waniumiza roho na hiyo kahawa....mekatazwa kunywaπ‘π‘π‘π‘π±π±π±π±....ila najiibia hivo hivo wiki mara 1..
Ni kweli mamy ila mara moja moja si mbaya!
YaaUmmy.. unakaidi kwanini? Kama hatari na mwiko...Si ufuate masharti ya Dr. hujui mkaidi hafaidi ila..........
Khalee-Baleek (take care)
nimependa signature yako.Ni kweli mamy ila mara moja moja si mbaya!
nimependa signature yako.
yani me vitam napenda ila nawochi mai figa pia..bas tafrani..naishia kula gizani nsionekane...teh