Gwajima, lissu na TEC wamejitahidi sana kulipambania taifa hili kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi pongezi wanastahili!, pia Mungu awape pumziko la milele Polepole na vijana wa tar 29/10.
Adui wa Bwana kazi unayo Gwajima Amalizagi Haiishi mpaka iishe. Our next Presdent Hatumii nguvu kupendwa. Kanisa la Wahaini Uwe Mwislam ,mkristo ,mpagani. Halichagui. Mkesha wa WAHAINI USIKOSE. Kesha...
Hii hadaa ya "Maridhiano", hivi huyu mtu hana akili za kujuwa kuwa waTanzania wanaelewa maana halisi ya "Maridhiano" ni nini?
Maridhiano yanakuwepo kati ya nani na nani. Inawezekana vipi mtu mwovu ndiye asimamie maridhiano ya yeye mwenyewe kujisafisha!
Kutumia njia ya maridhiano ili kujisafisha na dhambi alizowafanyia waTanzania itawasaidia kitu gani waTanzania, huku yeye akibaki akishikilia madaraka kiharamu, na akiendelea na njia zile zile za uovu?
Huyu mwanamke kweli anazo akili timamu huyu, wakati hata anajifanya hakumbuki matukio mbalimbali ya hadaa aliyokwisha wahadaa waTanzania?