Wadau poleni na majukumu,mimi ni kijana nimemaliza bachelor of Computer Network Eng. Nipo mtaani hivi sasa natafuta kazi naombeni mwenye msaada anisaidie kwani hali ya kifamilia ni mbaya nina mzazi mmoja ananitegemea,naweza kufanya kazi popote hata nje ya nchi(nina valid passport).
Naweza kufanya kazi yoyote inayohitaji mtu mwenye first degree