yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
Wadau haka kapiki piki nakauza, trafic wanasumbua sana mpaka kero na najikuta sina kwa kuendeshea kulingana na maeneo nnayoishi. Haina shida yoyote ila watoto wa ernest mangu wamenichosha sana. Sasa kwa ndugu zangu wa mikoani inawafaa sana hii kwa safari za hapa na pale huku dar trafic njaa sana. Bei ni 1.6 million shings but negotiable. Kwa wenye uhitaji anitafute 0764 50 30 76 napatikana dsm.