Habari yenu wakuu.
Naomba niingie moja kwa moja katika dhumuni. Naombeni mnisadie kujua,kati ya kilimo cha kahawa na korosho kipi ghali kuhudumia? Je, soko la mazao haya likoje? Na je, kwa kila heka ya kila zao unaweza kupata gunia ngapi ktk mavuno?
Nitashukuru sana kwa msaada wenu.