[emoji16][emoji16][emoji16]kuna bank moja bana wanatoa hii kitu(tawi la wazito),sasa kuna msomali mmoja akawa daily asubuhi anakuja kufanya miamala ya kibenk,anapiga saa ya kuondoka anakinga nyingine anasepa nayo,bank wana mind wanamkaushia maana ni mteja tena VIP.
Siku moja si akaja na mkate bana na mwanae,aaaah
Wakamzingua,kumbe alikuwa anatumwa bana,wala hela sio zake.