Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,857
3,561
Taarifa hizi nimezikia kupitia kipindi cha kipenga cha EA Radio 20:57.

=====
Kamati ya saa 72 ya TFF imeipatia Klabu ya Simba SC pointi tatu na magoli matatu baada ya mchezaji Fakhi wa Kagera Sugar kucheza dhidi yao huku akiwa na kadi 3 za njano kinyume na kanuni zinazoendesha soka nchini.

Sasa Simba SC wanafikisha pointi 61 na kujikita kileleni.
 
Back
Top Bottom