Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #81 libeva said: Masuke Masuke unapotea hewani Click to expand... Penati kwenda Kagera Sugar. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,474 Reaction score 3,631 Apr 6, 2015 #82 Wakipata penati watarudi
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 Apr 6, 2015 #83 libeva said: Kimoja kimerudi subiri cha pili ukakande na maji kesho Click to expand... Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Makoye Matale said: Wakati anaposti alijua wanaongoza kumbe kagoli kamechomolewa akiwa hewani. Pole zake. Click to expand... Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol!
libeva said: Kimoja kimerudi subiri cha pili ukakande na maji kesho Click to expand... Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Makoye Matale said: Wakati anaposti alijua wanaongoza kumbe kagoli kamechomolewa akiwa hewani. Pole zake. Click to expand... Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol!
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #84 Dakika ya 68: Kagera Sugar 1-2 Simba, Ajib (Penati).
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,474 Reaction score 3,631 Apr 6, 2015 #85 Apologise lady said: Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol! Click to expand... Umeibuka baada ya penati linarudi hilo
Apologise lady said: Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol! Click to expand... Umeibuka baada ya penati linarudi hilo
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #86 Apologise lady said: Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol! Click to expand... Sihitaji unione wa maana, nione vyovyoye unavyoweza, I don't care!
Apologise lady said: Sio shida ndio mpira, nasubiri dk 90 Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale lol! Click to expand... Sihitaji unione wa maana, nione vyovyoye unavyoweza, I don't care!
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Apr 6, 2015 #87 Makoye Matale said: Faida ya kutoingia vyumbani imeanza kuonekana. Click to expand... mkuu hapo shinyanga ni noma..Yanga walianza mpira wakapiga nje ndio pona yao...Ukianza mpira unautoa nje
Makoye Matale said: Faida ya kutoingia vyumbani imeanza kuonekana. Click to expand... mkuu hapo shinyanga ni noma..Yanga walianza mpira wakapiga nje ndio pona yao...Ukianza mpira unautoa nje
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 6, 2015 #88 Kagera timu sawazisha hilo gori hao simba warudi kuuza mitumba msimbazi
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Apr 6, 2015 #89 libeva said: Masuke Masuke unapotea hewani Click to expand... Nipo mkuu, hii mechi dalili za ushindi zipo.
libeva said: Masuke Masuke unapotea hewani Click to expand... Nipo mkuu, hii mechi dalili za ushindi zipo.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #90 2hery said: mkuu hapo shinyanga ni noma..Yanga walianza mpira wakapiga nje ndio pona yao...Ukianza mpira unautoa nje Click to expand... Kuna ukweli katika hili Mkuu? Faida ya Simba kutoingia vyumbani inaendelea kuwabeba.
2hery said: mkuu hapo shinyanga ni noma..Yanga walianza mpira wakapiga nje ndio pona yao...Ukianza mpira unautoa nje Click to expand... Kuna ukweli katika hili Mkuu? Faida ya Simba kutoingia vyumbani inaendelea kuwabeba.
namanyele JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,852 Reaction score 611 Apr 6, 2015 #91 Dakika ya ngapi mkuu ?
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 Apr 6, 2015 #92 libeva said: Umeibuka baada ya penati linarudi hilo Click to expand... Zamaulid said: Kagera timu sawazisha hilo gori hao simba warudi kuuza mitumba msimbazi Click to expand... Makoye Matale said: Sihitaji unione wa maana, nione vyovyoye unavyoweza, I don't care! Click to expand... Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol
libeva said: Umeibuka baada ya penati linarudi hilo Click to expand... Zamaulid said: Kagera timu sawazisha hilo gori hao simba warudi kuuza mitumba msimbazi Click to expand... Makoye Matale said: Sihitaji unione wa maana, nione vyovyoye unavyoweza, I don't care! Click to expand... Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #93 Dakika 75: Kagera Sugar 1-2 Simba.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #94 Apologise lady said: Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol Click to expand... Acha mipasho, sisi tunafuatilia mpira, hii siyo taarabu.
Apologise lady said: Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol Click to expand... Acha mipasho, sisi tunafuatilia mpira, hii siyo taarabu.
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Apr 6, 2015 #95 Atupele na King'wande wanasumbua
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #96 namanyele said: Dakika ya ngapi mkuu ? Click to expand... Dakika ya 78.
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Apr 6, 2015 #97 Makoye Matale said: Kuna ukweli katika hili Mkuu? Faida ya Simba kutoingia vyumbani inaendelea kuwabeba. Click to expand... Ngoja tuone hii ya leo..ile ya Yanga ilitimia
Makoye Matale said: Kuna ukweli katika hili Mkuu? Faida ya Simba kutoingia vyumbani inaendelea kuwabeba. Click to expand... Ngoja tuone hii ya leo..ile ya Yanga ilitimia
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 6, 2015 #98 Apologise lady said: Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol Click to expand... Hiyo penalt ndo inakutia kiburi...
Apologise lady said: Mkitoka hapo kaleni ubwabwa jangwani, maana nguvu zinawaisha na mate yanawakauka lol Click to expand... Hiyo penalt ndo inakutia kiburi...
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #99 Dakika ya 81: Kagera Sugar 1-2 Simba.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 6, 2015 #100 Zamaulid said: Hiyo penalt ndo inakutia kiburi... Click to expand... Achana naye huyo, hajui kwamba kupambana koote huku ni kupigania nafasi ya 3!
Zamaulid said: Hiyo penalt ndo inakutia kiburi... Click to expand... Achana naye huyo, hajui kwamba kupambana koote huku ni kupigania nafasi ya 3!