Shabiki mmoja wa Simba anasema hawajaingia vyumbani kwa sababu za ushirikina, amedai wameona kwa Mtibwa Sugar asubuhi ya leo na kwamba katika mechi ya Simba na Stand United waliingia chaka wakapigwa 1-0 hivyo leo wamechukua tahafhali ili wapate ushindi maana wametoka mbali sana.
Hayo ni maneno yaliyotolewa na shabiki wa Simba kupitia TBC Taifa.