Wenyeji wanasema mara nyingi mvua za jioni kwa huko Shinyanga huanza kwenye saa kumi na moja hivi, kwa hiyo wamekadiria kama mvua itaanza muda huo basi mechi itakuwa ishaisha.
Wenyeji wanasema mara nyingi mvua za jioni kwa huko Shinyanga huanza kwenye saa kumi na moja hivi, kwa hiyo wamekadiria kama mvua itaanza muda huo basi mechi itakuwa ishaisha.
Afadhali umemwambia huyo kibaraka wa wakoloni, atuachie Tanzania yetu. Muda wa kushabikia Chelsea, Arsenal, Manchester na wengineo umekwisha! Sasa hivi ni Yanga, Azam, Simba na wenzao tu.
Simba hawajaingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa wamekubali kulipa faini ya TFF. Haijafahamika sababu iliyowafanya Simba wasiingie vyumbani kama ni ushirikina au sababu nyingine. Kazi kwenu TFF.