Mimi niliishasema kwamba siasa za CCM zinawapumbaza wananchi ili waamini kiongozi bora ni yule anayetumia mshahara wake kuwapa huku akiendelea kufanya ufisadi, Kazi za mbunge ni Kusimamia,kushauri,kukemea serikali, Kutunga sheria sasa CCM wamefanikiwa hili jambo kwa kuwapa wananchi mtaala mbovu matokeo yake ni wanafunzi kushindwa kuchambua mambo. Bunge limepitisha bajeti ya maafa ili kufanya mambo hayo ya kufariji nk sasa yeye na wenzake wanazifisadi kisha anawapa eti ili wamuone ni mkarimu siku zake zinahesabika......haya mambo ya kutengeneza movie za kigaidi ili usipingwe bungeni nio dhambi ambayo itammaliza 2015............., Kamtetea ''ndovu lager'' bungeni baadaye kampa mgao sasa anaenda kuwadanganya wananchi...........siku zake zinahesabika................!!!!!!!!!!!!!!