.. Bwashe..??? Andika kama mwanaumeKabla ya kumsema Kagame naionea huruma Tanzania iliyoachwa mpaka na Zimbabwe...
Na huyo bwashee aliyeingia sasahivi yeye kazi ni kutumbua tu na si kujenga.. 2020 tutakuwa tuko na Malawi na Afrika ya Kati huko mkiani...