"Nineteen years ago, we hit the bottom. We couldn't sink lower. The only way to go was up. This is the journey we are on. What you have seen comes out of our attempt to be good students of history, good shapers of our future. With the kind of devastation we inherited, we have to ask ourselves, if we don't do our best and meet the expectations of our people, what will all the suffering have been for."
-President Kagame addressing US Congressional Delegation
For more pictures: US Congressional Delegation visit Rwanda- Kigali, 25 August 2013 - a set on Flickr
Umetumwa kutujazia u_p_u_u_z_i wa Kagame na Watutsi hapa jamvini. Itawafaa wasiowajua ila sisi tumekaa na Kagame na Watutsi wengi hapa Arusha kibinadamu kama watu wengine. Walichotufanyia huwezi kufuta kwa uongo na propaganda zako. Kagame is a coward ndiyo maana hana guts za kuzungumza na wanaume wenzie wa Rwanda; na ndiyo maana alipopolewa kule uingereza.
He is only trying to act a hero when he is a paper tiger, uncouth, haunted by by his evil deeds. As for you? You do not know what you are portraying here. Just Be Sober and Open your Eyes
wasiwasi, roho mbaya, kuwawazia wengine vibaya kunamfanya azeeke kabla ya wakazi
i guess he is coward he who kept quiet when he was supposed to say something.....watutsi watutsi walikufanyia nini?kagame is the president of rwanda and rwandans kama discussion yako haiko biased mbona unataja watutsi watutsi kila mara....stinking FDLR,acha ukabila hautakusaidia...wanyarwanda wanajua wapi ukabila umewafikisha,
hahahaaa....huna hela ya kuangalia hii speech umeishia juu....au mtandao shida nini? fibre optic alosambaza hadi kwenye vijiwe vya kahawa nchini kwake ndo zaidi inamfanya azeeke zaidi.....si mdebwedo huyu kaka
Mkuu hawa jamaa wana "vimbwanga" vingi aisee.......wanajaribu kutumia kila aina ya taarifa au tukio kutaka ku-cover....mambo yao wanayofikiri ni ya siri......kukutana na hiyo delegation mbona nijambo la kawaida sana......wanafikir wakionana na hiyo delegation then hiyo delegation itawasaidia kufunika maovu yao?......au wanafikiri hiyo delegation itawasaidia na uhamiaji haramu wanaoufanya kwa nchi jiarani na wao?.....
.....mbona hata Iddi Amin and the likes walikuwa na statements maridadi kabisa......lakini maovu yao yakawaumbua.....
Tatizo lililopo hapa JF.....kuna baadhi ya wana JF i.e. wale waliofaidika na system za Tanzania, tukawapa uraia wetu wa Tanzania...... huku "Utanzania" wao ulikuwa mguu mmoja ndani mwingine nje......sasa wamerudi kwao wamepewa kazi nzuri na vyeo vikubwa basi huwaambiwi kitu kuhusu Kagame............na sasa hao ndio wapiga kelele sana hapa jamvini......
hela ya nini kwa kuangalia sura yake tu? huoni ngozi yake ilivyoshikamana na mifupa yake.
Rais wako, kwa sababu ya chuki, mauaji ya washirika wenzake wa mapinduzi baada ya genoide, damu za wacongo anaoua na kuwaibia madili kubalance nakisi ya bajeti ya nchi yenu anaonekana mzee kuliko hata Robert Mugabe.
Kama ungekuwa una akili ya ku analyze ningekuelimisha kidogo. Angalia picha ya obama wakati anaingia madarakani na ya sasa, angalia picha ya kagame wakati anaingia madarakani na sasa. Utaona kwamba viongozi ambao wanaitumikia nchi yao masaa ishirini na nne lazima wazeeke. Yeye hana muda wa kucheza ndombolo, na sio kwamba hapendi muziki ila mzigo alionao akikutwisha wewe hautadumu hata dakika tano.
..u r right!!
..mauaji aliyofanya DRC, na jitihada za kuficha ukweli, ndiyo vinasababisha Paul Kagame akonde na kuzeeka.
..Kagame and his proxies have commited genocide in DRC. The difference btn him and Habyarimana and interahamwe ni kwamba Kagame is more ferocious in killing[by killing 3 million vs 1 million] and more crafty in covering up.
cc Ruzibiza, Koba, Jasusi, Nguruvi3, Kishimbe wa Kishimbe, Utingo
Mzigo wa kufyeka wananchi milioni 3 si mdogo.Kama ungekuwa una akili ya ku analyze ningekuelimisha kidogo. Angalia picha ya obama wakati anaingia madarakani na ya sasa, angalia picha ya kagame wakati anaingia madarakani na sasa. Utaona kwamba viongozi ambao wanaitumikia nchi yao masaa ishirini na nne lazima wazeeke. Yeye hana muda wa kucheza ndombolo, na sio kwamba hapendi muziki ila mzigo alionao akikutwisha wewe hautadumu hata dakika tano.
Mzigo wa kufyeka wananchi milioni 3 si mdogo.
Kubeba damu za wanandamu milioni 3 inahitaji fikra za ziada.
Kufukuza watu wake si mchezo.
Blah Blah Blah Blah.....:yawn:....Please i think you are intelligent. Come up with another line. Hii ni zilizopendwa.
Hata Charles Taylor ilichukua muda dunia kujua kuwa ni mhalifu. Mauaji ya Kenya yalikuwa kama mlipuko, haya ya Kagame ni taratibu. Ngoja kesi za akina Ntaganda zianze utasikia ushahidiHivi mna akili timamu kweli? You think in this day and age mtu anaweza kuua watu 50 asipelekwe the Hague? Kenya walikufa 1,000 tu Kenyatta na Ruto wakapelekwa. Why not kagame? U know why? Sababu mna daydream. Noooo. I think Kagame amewahonga ICC ili wasimkamate. Kahonga Dunia nzima. Duuh jamaa ni hatari.
unfortunately, he has more enemies within Rwanda than outside Rwanda the fact which makes him so insecure. if Tanzania decides to invade Rwanda today, more than 50% of RWandese will support Tanzania against their very president kagame, because they just don't have options, had they have one, they would have removed him long time ago.