Du watu mnachunguza hasa....mtashangaa hivihivi Wasira anakuwa President...kwani Wasira style imempa Promo ambayo sidhani kama amewahi kuipata popote pale.... Anyway kwani hiyo yellow coat ya Kagame ina vifungo?
Hawa majamaa kagame and uhuru wana mipango mixuri kwa nchi zao, mambo yao kimya kimya but yenye mipango na faida kwa taifa baadae👍👍👍👍
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.