Achana na Kagame, kama wewe ni mtanzania kwanza shughulikia matatizo yaliyoko nchini mwako yanayohusu uporaji wa rasilimali za watanzania unaofanywa na "mafisadi viwembe".
Tuhuma zote hizo unazomlundikia Kagame hakuna hata moja ambayo imeiwekea ushahidi wa maana !