Kagame ni dictator, na anataka Mawaziri wake wafanye kazi kama anavyotaka yeye.
Hii taarifa ni ya upande mmoja; hatujasikia kutoka kwa waziri aliyefukuzwa. Tusichukulie tu kuwa Waziri alikuwa na makosa kwa sababu Kagame kasema.
Inawezekana Waziri alikuwa sahihi, ila walitofautiana kimtizamo, na Kagame akamtimua kwa kuwa ndiye mwenye uamuzi wa mwisho!
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?
nitajiuzulu mara moja. La sivyo ana haki ya kunifukuza kazi kwa kuwa serikali ni yake.
katika hizo taarifa zote sijaona wala kusikia tusi, wala jina la rais Kikwete! mkuu achana na habari za kikwete kutukanwa na kulalamika! mbona viongozi wetu wameshatutukana sana sisi Watanzania wenzao, mara "mtakula nyasi" mara "mpige mbizi" mara "wazee wanakaribia kufa" mara "wapigwe tu"! sasa yote hayo mnaona sawa ila akisemewa ukweli JK basi tunashinda mitandaoni kumkingia kifua!
huu sio wakati wa "kwanini JK atukanwe"
ni wakati wa kuangalia mbadala wa mapato baada ya Rwanda na Uganda kujitoa TpA;
ni wakati wa kuangalia namna ya kusafisha jina letu na biashara ya unga haramu;
ni wakati wa rais wetu kuacha kueleka chuki kwa raia wenye asili ya Rwanda, eti wahamiaji haramu; hivi miaka yote hakujua kama wapo?
Dikteta kagame kazini, hiyo sababu ni danganya toto tu lazima kuna kubwa nyuma ya pazia! Atakuwa alipingana nae kuhusu uamuzi wa kijinga wa kutaka kuitenga nchi mwanzilishi wa eac kwa chuki zake binafsi.
This slim boy is very serious!!! Napenda uchapakazi wake kama si matusi yake ya juzi kwa Rais wetu bado ningemuona Rais wa mfano wa kuigwa!!
day dreaming wewe interahamwe.