Nilie Filisika
Member
- May 31, 2015
- 19
- 6
Ajabu kabisa kwa mara kwanza mmoja wa marais wa jumuiya ya afrika mashariki nae ni Paul Kagame rais wa Rwanda hasa alipo kaririwa na vyombo vya habari katika mazungumzo yake na vyombo vya habari akisema ..na nukuu kwa tafsiri "kuhubiri demokrasia ni jambo moja ila kuifanya demokrasia ni jambo lingine..kwa mara ya kwanza tunaona rafiki yetu akichuana na mwenyekiti wetu wa jumuiya yetu katika kuwania nafasi ya urais Tanzania katika uchaguzi wao mkuu na ndio nafasi ya mwenyekiti kujitofautisha kati yake na yangu na ya Nkurunziza" mwisho wa kunukuu..mara kadhaa ameonekana kuwakemea nabkukataa matendo ya kulazimisha na kung'ang'ania madaraka kwa viongozi wenzie wa Afrika hatimae nae anajikuta akijiandaa kwa kauli na viashario vya kuyafanya anayo pinga kwa wenzie ikiwa anatoa kauli za vitisho na kikwara kwa wapinzani wake Ukawa..na dhahiri kabisa anataka atumie jeshi kwa hali iliyoko mpaka sasa yeye na chama chake hawana mazingira ya kushinda kwa amani labda kwa matumizi ya jeshi pekee..mtu huyu anataka ajitoe kwenye lawama ya chama kumfia mikononi mwake mbaya zaidi ni pale ambapo wananchi wanataka mabadiriko ambayo anajitia upofu kiwa haoni hayo ila kwa mara kwanza na kwa kupenda au kutopenda mwaka huu itakuwa maana upinza wanatafuta kura ambazo mpaka sasa wanazo nyingi kuliko mgombea au chama chochote kile katika chaguzi hizi wakati kwa matumizi ya siraha na mauaji watayo fanya CCM na serikali yake tutasaidiwa na jumuiya za kimataifa na Haki za Binadamu maana hiyo sio kazi ya vyama vya Siasa tena..CcM jiandaeni kukubari kwa hiari kuachia nchi bila machafuko tafadhari ndipo ukomavu wa siasa na demokrasia itakavyo.