Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Yangaaaaaaaaa dah anatoa kipa half time...
 
Bado bila bila au mtanganyika kashaona nyavu?
 
Yangaaaaa dah..mpira umetua juu ya net..hawa wetu leo
 
Chanel gani inaonyesha mbona SS East Africa hawaonyeshi?
 
Wazenji wanapigiwa mpira balaa...na leo ndio wanamalizia ile sita!!
 
Wazenji wanapigiwa mpira balaa...na leo ndio wanamalizia zile sita!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…