Inaweza kuwa nzuri maana timu za mchangani hazipo!
Argue, do not shout!
Yeah, jana alisikika mropokaji wa wamchangani akijinasibu kuwa waliomba kushuriki kagame cup ili wapambane na Yanga. Kama kawaida yao efforts zao ni kumfunga Yanga tu.
Kundi- A:
▶Yanga ( Tanzania),
▶Gor Mahia ( Kenya),
▶Khartoum (Sudan),
▶Telecom ( Djibout),
▶KMKM ( Zanzibar ).
Kundi B:
▶APR ( Rwanda) ,
▶Al Shandy ( Sudan),
▶LLB ( Burundi),
▶Elman ( Somalia)
Kundi C:-
▶Azam (Tanzania),
▶Malakia (Sudan Kusini),
▶KCC ( Uganda),
▶Adama City ( Ethiopia)
---------------------
Tar 18.7.2015
KMKM vs TELECOM
APR- vs- SHANDY
YANGA vs GOR MAHIA
Sun.19.7-2015
LLB AFC vs HEGAAN FC
ADAMA CITY vs MALAIKA
AZAM- vs KCCA
Mon. 20.7.2015
TELECOM vs KHARTOUM-N
GOR MAHIA vs KMKM-
Tue.21.7.2015
SHANDY vs LLB AFC
HEGAAN vs -APR
Malaika vs Azam
Wed.22.7.2015
KHARTOUM vs KMKM
KCCA vs ADAMA City
TELECOM vs YANGA
Thur.23.7.2015
HEGAAN vs SHANDY
APR vs LLB- AFC
Fri.24.7.2015
KHARRTOUM-N vs GOR MAHIA
KMKM- vs YANGA
SAT.25.7.2015
KCCA vs MALAKIA
ADAMA CITY vs AZAM
Sun.26.7.2015
GOR MAHIA vs TELECOM
YANGA vs KHARTOUM-N
Mon. 27. 7. 2015 Rest day
-Tue. 28.7.2015-Quarter-Final
B1 vs A3
A1 vs Best Qualifier
Wed. 29.7.2015
B2 vs C2
C1 vs A2
Thu. 29.7.2015 Rest Day
Fri. 31.7.2015- Semi finals
Winner 25 vs Winner 26
Winner 23 vs Winner 24
Sat.1.8.2015-Rest Day
Sun.2-8-2015- Final & 3rd Place Player
Loser 27 vs Loser 28
Winner 27 vs Winner 28
hivi wajameni ningependa kujuzwa Nijuavyo mie ni kwamba CECAFA inaitambua Zanzibar kama nchi na kama tulivyoona kule Rwanda mwaka jana Mwenyeji hutoa timu tatu sasa Iweje Mbeya city hawashiriki?....
Kumbe wamejitoa vipi na Sudan mbona wanawakilishwa na timu mbili?...mbeya city wamejitoa kijanja kwa kisingizio muda hautoshi na hawajapata barua kutoka cecafa.
Kumbe kagame mwaka huu ipo sikusikia shamrashamra sababu mwenye kombe lake hayupo ila kiukweli imepoa sana kweli VPL bila MNYAMA hakuna ligi ila utumbo
Umekosea Mkuu sudan kusini imewakilishwa na Malaika wakati Sudan (ambayo ndiyo Sudan Kaskazini) imewakilishwa na Al ahly Shandy pamoja na Khartoum....Angalia vizuri hayo MakundiBila shaka Sudan kuna nchi mbili pia kama sikosei(NORTH SUDAN na SOUTH SUDAN)
Kumbe kagame mwaka huu ipo sikusikia shamrashamra sababu mwenye kombe lake hayupo ila kiukweli imepoa sana kweli VPL bila MNYAMA hakuna ligi ila utumbo
Hii hapa ratiba ya "DR YEAR NDONDO CUP"
SIMBA SC V/S KUTIANA FC-9.7.2015
WAKUNYUMBA V/S SIMBA SC-11.7.2015.
SIMBA SC V/S WAUZA MKAA FC-13.7.2015
GONGA FC V/S SIMBA SC-15.7.2015.
hiyo ni ratiba niliyoipata kwa mr dr year pale BUNGONI ILALA na bingwa atajizolea kitita cha tshs 500,000 cash!!!!!