kagame apigwa biti na obama

kagame apigwa biti na obama

enfuka nkulu

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
48
Reaction score
4
Raisi wa marekani amemwonya rais wa rwanda kwa njia ya simu kutosaidia waasi wa Congo.

source: star tv
 
Halafu ikawaje?

Kagame amemjibu Mr president Congo messed up way back in history , iam trying to put some semblence of order here mr president. Obama akamjibu good! a man is gotta do what a man is gotta do.
 
kuna watu wake anawatafuta kule congo ndio maana anang'angá nia kuwasaidia. wahutu walioua watusi wengi bado wapo kuwa wanalo jeshi na huwa wanajaribu kufanya njama kumpindua. yeye hutumia waasi wa congo kuwasambaratisha hao wahutu banyamulenge. usifikiri hana akili, kuna sababu ndio maana anafanya hivyo. wala usimnyoshee kidole kwa kupenda sifa.
 
Du kwani siku hizi simu zinachapishwa,anyway sijui sana
 
kuna watu wake anawatafuta kule congo ndio maana anang'angá nia kuwasaidia. wahutu walioua watusi wengi bado wapo kuwa wanalo jeshi na huwa wanajaribu kufanya njama kumpindua. yeye hutumia waasi wa congo kuwasambaratisha hao wahutu banyamulenge. usifikiri hana akili, kuna sababu ndio maana anafanya hivyo. wala usimnyoshee kidole kwa kupenda sifa.
Mambo mengine kuyatetea ni kukosa ustaarabu na utashi.
Linda mipaka yako,kwanini uende Congo na kuua watoto na wanawake? ... yaani wacongo milioni kadhaa wameuliwa systematically na hawa mnaowaita watutsi.
watoto wadogo na wanawake .... forget the banymulenge, what happened to the kids?
 
Kagame ni nyoka wa hatari. Ni muuaji na mbaka demokrasia! Watu wanamwona kama mchapa kazi lkn kazi bila kuwapa watu uhuru ni utumwa bado. Angalia alivyomfanya mama Ingabire!!!!!! Huko DRC ndo usiseme......
 
story za vijiweni wanasema usa ndio anayeua Congo, so kumbe sio usa anaye-distabilize Congo?!
 
Kagame ni nyoka wa hatari. Ni muuaji na mbaka demokrasia! Watu wanamwona kama mchapa kazi lkn kazi bila kuwapa watu uhuru ni utumwa bado. Angalia alivyomfanya mama Ingabire!!!!!! Huko DRC ndo usiseme......

Kama maendeleo yanaletwa kwa udikteta wa style ya Kagame...so be it...watanzania mmekaa na hadithi za utawala bora na haki za binandamu.... wakati wananchi wengi wanakufa kwa kukosa dawa na utapiamlo...wengine kwa kukosa elimu...

...wengine wamekufa lkn bado tunatembea nao mitaani na kupanda nao daladala..

Back
Top Bottom