kagame anajiliwaza

This human is so Dirty .... Haliwaziki ...hata akijitahidi vipi kujiliwaza!!
 
mpwa ukisikika untj tusi ama hutu mpwa hata ndugu zako awatokuja kukuzika ameeweka discpline ya adabu kwa kila mnyarwanda leo hii ukipiga kelel sema mnyarwanda sio mtusi wa la hutu
 
Unafiki wa Marekani ndio umetufikisha hapo tulipo. Kipi kisichojulikana na dunia hii kuhusu hii njemba?
 






Vyovyote vile watu watakavyomuita,watakavyomlaumu n.k lakini ukweli unabakia palepale kuwa wakati mwingine jamii zinapofikia mahala kama ilivyokuwa Rwanda basi huwa tunahitaji njemba kama hizi bila kujali zimepataje madaraka iwe kwa mapinduzi au kidemokrasia ili kuja kurekebisha mambo.Na kwa upande wangu naomba wazaliwe makagame wawili tu kwa kuanzia mmoja aende Somalia na mwingine aje Tanzania.
 

Duh! Hiyo dua hiyo? Balaa..!!!!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…