we cnt compare this guy with nyerere mzee!no way ongea kitu ingine,akisema anamkubali nyerere ni sawa nadhani hilo liko wazi worldwide.everyone admire mwalimu.BabuKijana,
Read carefully the Subject matter! Sio unabwatuka tu na kuandika bila ya kusoma na kuanalyse the interview. Kagame na viongozi wengine wengi wa kiafrica watakuwa judged by history. sio wewe wala mimi and furthermore. Lets wait and see. We cannot judge a leader while he/she is still in the office. Hata yeye mwenyewe amesema kwenye interview hii.....kuwa atawaachia historians wam judge akisha ng'atuka....
Si Mtazamo wake yeye tu; nimekuta na baadhi ya wanyarwanda wengine; ni kitu pekee na kikubwa ambacho kinawafanya watuheshimu sana wabongo! Ni kweli sie tulikuwa na bahtai ya kuwa na kiongozi kama Mwalimu! Na si kwa wanyarwanda tu hata hawa Wahindi kule kwao na hasa kwenye taasisi za elimu kama chuo kikuu cha Delhi wanathibitisha hili. Mnapomlaumu kama Kagame anayaishi maisha ya Mwalimu anzeni kwenu kwanza na hawa viongozi wetu ambapo MWAlimu ni Baba yetu wa Taifa.......utashangaa ukiona Kagame walau anafikisha asilimia 3!
we cnt compare this guy with nyerere mzee!no way ongea kitu ingine,akisema anamkubali nyerere ni sawa nadhani hilo liko wazi worldwide.everyone admire mwalimu.