Kafulila live bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila live bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Jul 12, 2011.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  anawachana wabunge na mawaziri kwa kutibiwa hospitali nzuri huku wananchi wakiwa hoiii
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani hawa wabunge ni zero sana jana nimemsikia mama mmoja akililia hospitali ya Dodoma first class rooms ziongezwe, ili wenye pesa walale kule.
  Baadala ya kung`ang`ania huduma bora na usafi kwa hospital nzima.

  Jamani nani hataki kulala pasafi na kupata huduma bora?
  Hawa ndio wawakilishi wetu bungeni.
  Hawana maaana kabisa Wanatuona third class sisi tunao waweka mjengoni
   
 3. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni kawaida kwa viongozi hasa watanzania. Waulize watoto wao wanasoma wapi? Naamini hakuna hata mmoja ambaye yuko shule za kata
   
 4. m

  mwanawasi Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  full mafact, n maconfidence,...ila naona Sita anaharibu,pumba tupuuu
   
 5. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Endelea kutujuza huku kwetu wametu-ngerejalized
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sitta naye kaingilia kati kumbe ndo kazidisha moto umewaka mwenyekiti kaamua kukimbia na kuhairisha bunge mambo mazito sana
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Wapumbavu hawa wametungeleja, yaani nilikuwa nafurahi alivyokuwa anawachamba kinoma mpaka mama mmoja alimanusura alie. Safi sana kafulila yaani mwaka huu mpaka wavae bukta jezi pumbavu zao!

  a friend of my enemy is my enemy too
  tap tap tap tap tap
   
Loading...