Kafulila anajiamini nini?

Uchawa uchawa ila nzuri
 
Badala ya kuuliza maswali kuhusu uchumi, usishangae wakauliza kuhusu no reform No erection!

Usipoteze muda kusikiliza wanachoongea siku hiyo
hao ni wazee wa script hata bungeni wcnaenda kuigiza
maswali,hoja na majibu washapeana

Amin kwamba ni hivyo
 
Sema aweke link ya maswali ili wananchi pia wamuulize maswali

maswali yangu ni 3 tu

anatetea hati chafu kupungua. imebaki 1. kwa nini asitete hoja zingine zilizopo ktk taarifa ya cag

anatetea dola kupanda anasema ni kawaida, je ametoa njia au mbinu gani taifa lifanye dola ishuke

anatetea deni la taifa kwamba linaweza kuwa kawaida., je aweke wazi taifa linalipaje hilo deni kwa mwezi, mwaka na namna ya kulipunguza kuliko vigeregere likiongezeka

huko ktk ppp, mwambieni hajui chochote bora akae kmya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…