Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Sio wakati huo tu,hata wakati ananyanganjwa jimboHalafu huyo aliekuwa anamsifia leo, alikuwa upande wa serikali kipindi kile na hakuonyesha kupinga.. leo anataka kuchukua B aonekane yeye ndo mzalendo kuliko.. Unafiki wa kiwango cha makinikia..
Maneno mazuri haya mkuuMagufuli anaweza kuwa anafanya vizuri ila teke it from me.... Hizi juhudi zake za zisipokuwa institutionalized.... Hasa kupitia mfumo wa kisheria(katiba), akiondoka tunarudi square one
Bwana yule ni mnafiki sana.. Anajifanya kumpaka mafuta pale kwa mgongo wa chupa..Sio wakati huo tu,hata wakati ananyanganjwa jimbo
KAFULILA alifulia kwa sababu ya Kuunga mkono UKAWA against CCM ya KIKWETE na Mgombea Urais wakati kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate uhuru hakuna serikali ilijali MASLAHI YA WANAKIGOMA kama AWAMU YA NNE na JPM akiwa waziri wa UJENZI .... Kafulila alikosea njia kuunga mkono lile GENGE la MBOWE, LOWASSA na MAALIM... hawa sio wenzetuMbunge huyo amesema ni heshima kubwa kwa sababu jambo hilo liliathiri sana maisha yake, na anashukuru Mungu mpaka leo yupo hai
Na anatumaini rais kwa dhamira alioinyesha atachukua hatua za kutosha kama kuimarisha ofisi ya TAKUKURU na DPP na wahusika wote wachukuliwe hatua
Akijibu swali kama sakata la Escrow ndio lilisoababisha yeye kushindwa amejibu vita hiyo imemgharimu mambo mengi na jimbo ni sehemu moja, ameongezea jimbo hilo hakushindwa bali alinyang'anywa baada ya kuibiwa sana ikashindikana akanyang'anywa na rekodi zipo na anaweza kuzionyesha na nguvu zilizotumika kumnyang'anya jimbo hazikua nguvu za kawaida