Kafulila afunguka baada ya Magufuli kumsifia sakata la IPTL, asema CCM walimnyang'anya jimbo

Kafulila alikosa ubunge sababu alikiponda act kuwa ni team mawese so Zitto aka deal nae kwa hili wasiisingizie CCM
 
Kama aliyosema ni ya kweli basi afuatilie uchaguzi haki ya David ipatikane. Na siyo hiyo tu, majimbo mengi waliiba ili kujihararisha
 
Magufuli anaweza kuwa anafanya vizuri ila take it from me.... Hizi juhudi zake za zisipokuwa institutionalized.... Hasa kupitia mfumo wa kisheria(katiba), akiondoka tunarudi square one
Sio mjinga.
Anajua if eerything is institutionalized yeye na cronies wake wa awamu hii kama
Kina bashite nao jela zitawahusu mara watakapostaafu.

Huyu raisi atadanganya watu wenye IQ za kupima kwenye kibaba.

It doesnt take a lot more smarts to understand the guys is just an incompetent politician who has to find something to make noise about.

He will not do much as he does not think fo doing much.,he is only thinking about the image of him being seen he is doing much!
 
Ni hao hao SEMA sasa hivi wanazuga kama hawakuusika..lkn Mungua anajua David..wew nitofaut sn na wabunge wa kigoma kwan sio mnafik
 
Sasa ole wake kafulila aseme magu ni mnafiki, kama hajenda kupimwa mkojo.
 
Huyu naye si angeshukuru tu... hayo alikuwa wapi tangu uchaguzi kuyaongelea tena.

Anakinyongo bado hafai kupata cheo huyu, labda abadilike. Kulalamikaaaaaaaaaaaaaa eti ayaonyeshe leo ndio kakumbuka yapo... ayaonyeshe basi... sio kulalamika baada ya kusifiwa hata kama labda hayo anayodai yalitokea... ila why leo... y sio jana au juzi... huyu kama anadanganya tu... mahakama kukata tufaa si kupo au!? kweli kuna binadamu wanashangaza shaaaaaaa. Pia bila siasa hawezi kufanya biashara au!? Kwani sie tusio kwenye siasa hatuishi!!
uchaguzi ni mwandishi amemuuliza
 
Magufuli anaweza kuwa anafanya vizuri ila take it from me.... Hizi juhudi zake za zisipokuwa institutionalized.... Hasa kupitia mfumo wa kisheria(katiba), akiondoka tunarudi square one
Katiba pekee haina msaada kama dhamira kwa waliopewa mamlaka hawako tayari kuifuata na kuilinda, kila cku tunasema
Utampeleka wapi alie vunja katiba wakati mahakama zimejaa wala rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images
172460.jpg
 
Back
Top Bottom