NDUGU EZAN,kwa hayo uliyoyaelezea nimepata kigugumizi na nimeshindwa kabisa kuchangia hilo swala,
niko njiapanda,kama mambo yenyewe ndiyo hayo basi,inabidi hii mada ifunguliwe page na wanajamvi wote
tuijadili na hii ni kwa faida ya taifa na waislam wote kwa ujumla,kisha kufikia muafaka yakuwa upi ni uamuzi
sahihi,kwa sababu hiyo mahakama itawagusa watanzania wote kwa ujumla,bila kujali dini zao,nawasilisha