plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,395
- 1,439
Katika universe yetu kuna kanuni zake ( nilishawahi kuichambua universe katika post zangu za nyuma hivyo sina haja ya kurudia tena ), kanuni ambazo zinatawala ulimwengu huu, kanuni ambazo ukizitumia vyema utafanikiwa katika idara nyingi ikiwemo mahusiano.
Niseme tu kwamba katika kila matokeo unayoyapata yanaanzia katika ulimwengu usioonekana ndipo yajitokeze katika ulimwengu huu unaoonekana.
Mojawapo ya kanuni inayotenda kazi katika ulimwengu wetu huu ni hii kanuni ya ukihitaji sana kitu au mtu ndivyo unavyopoteza.
Kwa mfano, unamhitaji sana mwanamke flani au mwanaume flani awe mpenzi wako au rafiki yako, ulishawahi fanya uchunguzi je, ulifanikiwa kumpata? na ulipo mpata mlidumu kwa kiasi gani? Majibu mnayo wenyewe.
Tuangalie mfano mwingine, kama wewe ni mwanamke au mwanaume, huwa unajisikiaje unapoona mtu anakuganda kupitiliza, yani anatamani kila mda uwe karibu yake, kila unapoenda anataka akusindikize, kama mpo mbali kila baada ya dakika tano anakupigia simu anakuuliza uko wapi, unafanya nini n.k n.k. Huwa mnafurahia eeh? Majibu pia mnayo wenyewe.
Turudi kwenye kanuni, unavyozidi kuhitaji ndivyo unavyozidi kupoteza.
Wale wanaume ambao mnajitoa sana ili mpendwe na wanawake, kutuma na ya kutolea, kuwanunua zawadi kila baada ya siku kadhaa, too much available, too nice, mnajua ni kwanini hamjafanikiwa kudumu na hao wanawake, au hamna furaha katika hayo mahusiano? Ni kwa sababu hamjaijua hii kanuni.
Wanawake na nyie ni hivyo hivyo, mna namna zenu za kuwaganda baadhi ya wanaume labda kwa ajili ya kipato au ili muolewe n.k n.k mwisho wa siku mambo yanaenda mrama.
Sio mahusiano peke yake, hata pesa ukiihitaji sana inakukimbia, instead bring value to people and money will come to you (hapo mtanisaidia kutafsiri nimekosa kiswahili kizuri cha kukiweka hapo)
Unapo mhitaji sana mtu, labda umetamani awe na uhusiano flani na wewe ile kusema "i really really want you" maana yake, you can't have him/her inamaana "you show lack" na subconcious mind yako itasend vibration kwa huyo mtu unayemhitaji sana na itakuwekea resistance, jinsi unavyozidi kumhitaji ndivyo unavyozidi kuweka resistance baina yako na yake.
Sote tunafahamu kwenye breakup kuna upande mmoja unaumia sana, na upande unaoumia sana siku zote, ni ule upande uliopenda zaidi. Na yule aliyependa kidogo hutumia mwanya huo kumuumiza zaidi yule aliyependa zaidi. What if akagundua yule aliyempenda zaidi ame move on na anaendelea na maisha yake na furaha yake haimtegemei yeye pekeyake. Unajua nini huwa kinatokea? Ataanza kujirudi na kutaka kuanzisha uhisiano tena ( hapo waswahili utawasikia wakisema, amerudi kwa kasi ya 4G ).
Kwahiyo kinachotakiwa kufanyika hapa ni mtu kuwa na self control, have your own standards, be star of your own movie, furaha yako itokane na wewe mwenyewe isitegemeane na mtu, have your dreams and follow them, ukiwa na dreams zako unazozifuata huo mda wa kugandana na mtu hutaupata na hapo you will become star of your own movie, others will follow you to join your movie.
Kama wewe ni mwanafunzi, usiwaze sana kuwa top of your class, instead focus on your studies, focus kucover mapema na kuelewa, focus kujifunza kila siku, then utajikuta tu at the top.
Kama wewe ni mfanya biashara, usiwaze sana ni namna gani biashara yako ikuingizie faida kubwa kwa mda mfupi, instead focus kwenye kuboresha management yako, kama umeajiri wafanyakazi au mfanyakazi wa kusaidiana naye kwenye biashara yako, focus kuwafanya wafurahi na wakifurahi wataishi vizuri na wateja na biashara itapanuka , kama unafanya biashara mwenyewe unajisimamia, vivyo hivyo jikite kuwahudumia vizuri wateja wako na kuwa na lugha nzuri hata kama ukikutana na wale wateja vichwa ngumu wenye lugha mbaya wewe wahudumie vizuri, baada ya mda utaona biashara yako ikipanuka.
Hivyo hivyo kwenye makampuni na taasiri mbalimbali yafocus kwenye kutoa value kwa watu yatajikuta yanasonga mbele na kuwa in top rank.
Tumalizie kwenye relationship, stop chasing anyone, they will chase you. Hapa simaanishi msitake risk, kama wewe ni mwanaume, go take her number, rusha mistari kama kawaida but don't act needy.
Nawasilisha.